blob: 274580c6bc675a722dbf2383bd4440f2818e878d [file] [log] [blame]
<?xml version="1.0" ?>
<!DOCTYPE translationbundle>
<translationbundle lang="sw">
<translation id="3234920859344197194">Tovuti hii inatumia programu jalizi ya Chrome Frame ambayo hivi karibuni itaacha kupokea taarifa za usalama na uthabiti. Tafadhali iondoe na upate toleo jipya la kivinjari cha kisasa.</translation>
<translation id="8914504000324227558">Zindua upya Chrome</translation>
<translation id="8000275528373650868">Google Chrome inahitaji Windows Vista au Windows XP iliyo na SP2 au ya juu zaidi.</translation>
<translation id="8485767968786176057">Katika hali hii, anwani iliyo kwenye cheti hailingani na anwani ya tovuti ambayo kivinjari chako kilijaribu kwenda. Sababu mojawapo huenda ikawa kuwa mawasiliano yako yananaswa na mshambulizi anayetoa cheti cha tovuti tofauti, hivi kusababisha kutolingana. Sababu nyingine yaweza kuwa seva imepangwa kutoa cheti kimoja kwa tovuti nyingi, pamoja na ile unayojaribu kutembelea, ingawa cheti hicho sio sahihi kwa tovuti hizo zote. Google Chrome inaweza kusema kwa uhakika kuwa umefika &lt;strong&gt;<ph name="DOMAIN2"/>&lt;/strong&gt;, lakini haiwezi kuthibitisha kuwa hiyo ni tovuti sawa na &lt;strong&gt;<ph name="DOMAIN"/>&lt;/strong&gt; uliyotaka kufikia. Iwapo utaendelea, Chrome haitachunguza kutolingana kwa majina tena.</translation>
<translation id="5430073640787465221">Faili yako ya mapendekezo imeharibika au ni batili.
Google Chrome haiwezi kufufua mipangilio yako.</translation>
<translation id="6676384891291319759">Fika kwenye wavuti</translation>
<translation id="7115445779188493842">Ili kutumia kizinduzi cha programu, lazima uzindue upya Google Chrome kwenye eneo-kazi.</translation>
<translation id="6236285698028833233">Google Chrome imekoma kusasisha na haiwezi kutumiwa tena na toleo hili la mfumo wako wa uendeshaji.</translation>
<translation id="5453904507266736060">Ruhusu Google Chrome Iendeshe Katika Mandharinyuma</translation>
<translation id="2383457833405848421">Kuhusu Chrome Frame...</translation>
<translation id="3454512769850953877">Ndiyo, ondoka kwenye Chrome</translation>
<translation id="4167057906098955729">Unaweza kuona arifa zako zote kutoka programu za Chrome, viendelezi, na tovuti hapa.</translation>
<translation id="2704356438731803243">Iwapo unapendelea kutenga data ya Chrome iliyopo, unaweza kuweka mtumiaji mpya wa Chrome kwa <ph name="USER_NAME"/>.</translation>
<translation id="386202838227397562">Tafadhali funga madirisha yote ya Google Chrome na ujaribu tena.</translation>
<translation id="1225016890511909183">Chrome itahifadhi kwa usalama maelezo yako ili usihitaji kuyachapa tena, lakini bado utahitaji kudhibitisha msimbo wa usalama wa kadi yako kwa malipo siku za usoni.</translation>
<translation id="2770231113462710648">Badilisha kivinjari chaguo msingi kiwe:</translation>
<translation id="2077129598763517140">Tumia uongezaji kasi wa maunzi wakati unapatikana</translation>
<translation id="1065672644894730302">Mapendeleo yako hayawezi kusomwa.
Baadhi ya vipengele huenda visipatikane na mabadiliko katika mapendeleo hayatahifadhiwa.</translation>
<translation id="7781002470561365167">Toleo jipya la Google Chrome linapatikana.</translation>
<translation id="7101265395643981223">Anzisha Google Chrome</translation>
<translation id="4891791193823137474">Ruhusu Google Chrome iendeshe katika mandharinyuma</translation>
<translation id="2896252579017640304">Zindua programu za Chrome</translation>
<translation id="2370289711218562573">Google Chrome sasa inaingiza Vipendwa/Alamisho.</translation>
<translation id="2721687379934343312">Kwenye Mac, manenosiri yanahifadhiwa kwenye Msururu wako wa kitufe na yanaweza kufikiwa au kulandanishwa na watumiaji wengine wa Chrome wanaoshiriki akaunti hii ya OS X.</translation>
<translation id="6014844626092547096">Sasa umeingia kwenye Chrome! Usawazishaji umezimwa na msimamizi wako.</translation>
<translation id="3140883423282498090">Mabadiliko yako yataanza kufanya kazi wakati ujao utakapozindua Google Chrome.</translation>
<translation id="1773601347087397504">Pata msaada wa kutumia Chrome OS</translation>
<translation id="6982337800632491844"><ph name="DOMAIN"/> huhitaji usome na ukubali Sheria na Masharti yafuatayo kabla ya kutumia kifaa hiki. Masharti haya hayapanui, kurekebisha au kupunguza Masharti ya Google Chrome OS.</translation>
<translation id="4309555186815777032">(inahitaji uanzishaji upya wa <ph name="BEGIN_BUTTON"/>Chrome<ph name="END_BUTTON"/>)</translation>
<translation id="8030318113982266900">Inasasisha kituo chako kwenda kituo cha <ph name="CHANNEL_NAME"/>...</translation>
<translation id="5339639696978861456">Fremu ya Chrome imesasishwa. Tafadhali zindua upya kivinjari chako. Toleo la Chrome: <ph name="TODO_0001"/> , toleo la Fremu ya Chrome: <ph name="TODO_0002"/></translation>
<translation id="8471072774411320686">Unahitajika kuingia kwenye Chrome ili kutumia programu hizi. Hii inaruhusu Chrome kulsawazisha programu, alamisho, historia, manenosiri yako na mipangilio mingine katika vifaa vyote.</translation>
<translation id="5775197990071433230">Kompyuta hii tayari ina toleo jipya zaidi la vijenzi vya Google Chrome. Tafadhali tumia Kisakinishi cha hivi karibuni zaidi.</translation>
<translation id="1779550429052479749">Usakinishaji unaokinzana wa Google Chrome au Fremu ya Google Chrome umepatikana kwenye mfumo. Tafadhali usanidue na ujaribu tena.</translation>
<translation id="3555616473548901994">Kusanidua kumekamilika.</translation>
<translation id="4987308747895123092">Tafadhali funga madirisha yako yote ya Google Chrome (pamoja na yaliyo kwenye modi ya Windows) na ujaribu tena.</translation>
<translation id="568643307450491754">Pata alamisho zako katika menyu ya Chrome au kwenye upau alamisho.</translation>
<translation id="8556340503434111824">Kuna toleo jipya linalopatikana la Google Chrome, na ni la kasi kuliko la awali.</translation>
<translation id="4728575227883772061">Usanidi umeshindwa kwa sababu ya hitilafu isiyojulikana. Ikiwa Google Chrome haitumiki kwa sasa, tafadhali ifunge na ujaribu tena.</translation>
<translation id="2082230140685103752">Ili kutumia programu za Chrome, lazima uzindue upya Google Chrome kwenye eneo-kazi.</translation>
<translation id="3080151273017101988">Endelea kuendesha programu za mandharinyuma wakati Google Chrome imefungwa</translation>
<translation id="4149882025268051530">Kisanidi kimeshindwa kufungua saraka. Tafadhali pakua Google Chrome tena.</translation>
<translation id="6989339256997917931">Google Chrome imesasishwa, lakini hujaitumia kwa angalau siku 30.</translation>
<translation id="7060865993964054389">Kizinduzi cha Programu za Chrome</translation>
<translation id="1682634494516646069">Google Chrome haiwezi kusoma na kuandika kwenye saraka yake ya data:
<ph name="USER_DATA_DIRECTORY"/></translation>
<translation id="4343226815564935778">Yaonekana kuwa saraka ya kusanidi wa Google Chrome inatumika. Tafadhali washa kompyuta yako upya na ujaribu tena.</translation>
<translation id="8227755444512189073">Google Chrome inahitaji kufungua programu ya nje ili kushughulikia viungo vya <ph name="SCHEME"/>. Kiungo kilichoitishwa ni <ph name="PROTOLINK"/>.</translation>
<translation id="8290100596633877290">Ho! Google Chrome imezimika. Ianzishe tena sasa?</translation>
<translation id="1480489203462860648">Ijaribu, tayari imesakinishwa</translation>
<translation id="5204098752394657250">Sheria na Masharti za <ph name="TERMS_OF_SERVICE_LINK"/>Google Chrome<ph name="END_TERMS_OF_SERVICE_LINK"/></translation>
<translation id="1393853151966637042">Pata msaada wa kutumia Chrome</translation>
<translation id="7398801000654795464">Uliingia kwenye Chrome kama <ph name="USER_EMAIL_ADDRESS"/>. Tafadhali tumia akaunti sawa ili kuingia tena.</translation>
<translation id="1697213158865901863">Google Chrome Frame</translation>
<translation id="4513711165509885787">Maelezo yako ya utozwaji yamehifadhiwa katika Chrome.</translation>
<translation id="7098166902387133879">Google Chrome inatumia maikrofoni yako.</translation>
<translation id="4053720452172726777">Dhibiti na ugeuze Google Chrome ikufae</translation>
<translation id="6423071462708908582">Ulijaribu kufikia &lt;strong&gt;<ph name="DOMAIN"/>&lt;/strong&gt;, lakini seva iliwasilisha cheti ambacho muda wake wa kutumika umeisha. Hakuna maelezo yanayopatikana ili kuonyesha iwapo cheti hicho kimeathirika tangu muda wake kuisha. Hii inamaanisha Google Chrome haiwezi kuhakikisha kuwa unawasiliana na &lt;strong&gt;<ph name="DOMAIN2"/>&lt;/strong&gt; na siyo mshambulizi. Saa ya kompyuta yako sasa imewekwa kama <ph name="CURRENT_TIME"/>. Je, iko sawa? Kama haiko, unapaswa kurekebisha hitilafu na uonyeshe upya ukurasa huu.</translation>
<translation id="3197823471738295152">Kifaa chako kimesasishwa.</translation>
<translation id="8286862437124483331">Google Chrome inajaribu kuonyesha manenosiri. Chapa nenosiri lako la Windows ili uruhusu hili.</translation>
<translation id="3889417619312448367">Ondoa Google Chrome</translation>
<translation id="1434626383986940139">Programu za Chrome Canary</translation>
<translation id="8551886023433311834">Inakaribia kusasishwa! Anzisha kifaa chako upya kifaa ili kukamilisha kusasisha.</translation>
<translation id="6169866489629082767"><ph name="PAGE_TITLE"/> - Google Chrome</translation>
<translation id="1073391069195728457">Chrome - Arifa</translation>
<translation id="7339898014177206373">Dirisha jipya</translation>
<translation id="3282568296779691940">Ingia katika Chrome</translation>
<translation id="3089968997497233615">Kuna toleo jipya na salama la Google Chrome.</translation>
<translation id="5037239767309817516">Tafadhali funga madirisha yote ya Google Chrome na uianzishe upya ili mabadiliko haya yatekelezwe.</translation>
<translation id="345168553362876363">Kizinduzi cha Programu ya Google Chrome ni mfumo wa pekee wa programu za Chrome.</translation>
<translation id="225614027745146050">Karibu</translation>
<translation id="7451721381978275812">Hoja batili. Fremu ya Google Chrome haiwezi kusakinishwa katika modi tayari bila kusakinisha Google Chrome pia.</translation>
<translation id="8684521613357479262">Ulijaribu kufikia &lt;strong&gt;<ph name="DOMAIN"/>&lt;/strong&gt;, lakini seva iliwasilisha cheti ambacho bado siyo halali. Hakuna maelezo yanayopatikana kuonyesha iwapo cheti hicho kinaweza kuaminika. Google Chrome haiwezi kuhakikisha kwa Ndivyo unawasiliana na &lt;strong&gt;<ph name="DOMAIN2"/>&lt;/strong&gt; na siyo mshambulizi. Saa ya kompyuta yako sasa imewekwa kwa <ph name="CURRENT_TIME"/>. Je, hiyo inaonekana sawa? Kama siyo, unapaswa kurekebisha hitilafu na uonyeshe upya ukurasa huu.</translation>
<translation id="4298853828775962437">http://support.google.com/chrome/?p=ib_chromeframe</translation>
<translation id="3149510190863420837">Programu za Chrome</translation>
<translation id="7084448929020576097"><ph name="FILE_NAME"/> ni hasidi, na Chrome imeizuia.</translation>
<translation id="6368958679917195344">Chrome OS imewezeshwa na programu ya ziada ya <ph name="BEGIN_LINK_CROS_OSS"/>programu huria<ph name="END_LINK_CROS_OSS"/>.</translation>
<translation id="7459554271817304652">Sanidi Usawazishaji ili kuhifadhi vipengele vyako vya kivinjari vilivyobinafsishwa kwenye mtandao na uvifikie kutoka Google Chrome kwenye kompyuta yoyote.</translation>
<translation id="4331809312908958774">Chrome OS</translation>
<translation id="473775607612524610">Sasisha</translation>
<translation id="1195935957447623558">Google Chrome haikufungika ipasavyo. Kufungua tena kurasa ulizokuwa umefungua, bofya Rejesha.</translation>
<translation id="2576431527583832481">Chrome imekuwa bora! Toleo jipya linapatikana.</translation>
<translation id="4633000520311261472">Ili kufanya Chrome salama zaidi, tumezima baadhi ya viendelezi ambavyo havijaorodheshwa katika <ph name="IDS_EXTENSION_WEB_STORE_TITLE"/> na ambavyo huendwa viliongezwa pasipo ridhaa yako.</translation>
<translation id="556024056938947818">Google Chrome inajaribu kuonyesha manenosiri.</translation>
<translation id="2580411288591421699">Huwezi kusakinisha toleo la Google Chrome ambalo tayari linatumika. Tafadhali funga Google Chrome na ujaribu tena.</translation>
<translation id="8460191995881063249">Kituo cha Chrome cha Taarifa</translation>
<translation id="1457721931618994305">Inasasisha Google Chrome...</translation>
<translation id="7747138024166251722">Kisakinishi hakikuweza kuunda saraka la muda. Tafadhali chunguza nafasi iliyo wazi kwenye diski na ruhusa ya kusakinisha programu.</translation>
<translation id="6557998774620459028">Ulijaribu kufikia &lt;strong&gt; <ph name="DOMAIN"/> &lt;/ strong&gt;, lakini seva iliwasilisha cheti kilichotolewa na huluki ambaye haaminiwi na mfumo wa uendeshaji wa kompyuta yako. Huku kunaweza kumaanisha kuwa seva hiyo imeunda stakabadhi zake za usalama, ambazo Chrome haiwezi kuzitegemea kwa maelezo ya utambulisho, au huenda mshambulizi anajaribu kukatiza mawasiliano yako.</translation>
<translation id="5170938038195470297">Wasifu wako huenda usitumike kwa sababu unatoka katika toleo jipya la Google Chrome.
Huenda baadhi ya vipengele visipatikane. Tafadhali bainisha saraka tofauti ya wasifu au tumia toleo jipya la Chrome.</translation>
<translation id="7282192067747128786">Chrome - Arifa (<ph name="QUANTITY"/> hazijasomwa)</translation>
<translation id="6011049234605203654">Nenda kwenye
menyu ya Chrome &gt;
<ph name="SETTINGS_TITLE"/>
&gt;
<ph name="ADVANCED_TITLE"/>
&gt;
<ph name="PROXIES_TITLE"/>
na uhakikishe kuwa usanidi wako umewekwa kwenye &quot;hakuna proksi&quot; au &quot;moja kwa moja.&quot;</translation>
<translation id="8738921060445980047">Toleo lisilojulikana.</translation>
<translation id="6970811910055250180">Inasasisha kifaa chako...</translation>
<translation id="2485422356828889247">Ondoa</translation>
<translation id="2748463065602559597">Unautazama ukurasa salama wa Google Chrome.</translation>
<translation id="7185038942300673794"><ph name="EXTENSION_NAME"/> imeongezwa kwenye Chrome.</translation>
<translation id="1786477462680638703">Ulijaribu kufikia &lt;strong&gt; <ph name="DOMAIN"/> &lt;/ strong&gt;, lakini seva iliwasilisha cheti kilichotolewa na huluki ambaye haaminiwi na Google Chrome. Huku kunaweza kumaanisha kuwa seva hiyo imeunda stakabadhi zake za usalama, ambazo Google Chrome haiwezi kuzitegemea kwa maelezo ya utambulisho, au huenda mshambulizi anajaribu kukatiza mawasiliano yako.</translation>
<translation id="9073088951656332330">Hakuna usakinishaji wa Google Chrome au Google Chrome Frame uliopatikana ili kusasisha.</translation>
<translation id="2346876346033403680">Awali mtu aliingia katika Chrome kwenye kompyuta hii kama <ph name="ACCOUNT_EMAIL_LAST"/>. Iwapo hiyo sio akaunti yako, weka mtumiaji mwengine wa Chrome ili utenganishe maelezo yako.
Kuingia bila kujali kutaunganisha maelezo ya Chrome kama vile alamisho, historia, na mipangilio mingine kwenye <ph name="ACCOUNT_EMAIL_NEW"/>.</translation>
<translation id="9107728822479888688"><ph name="BEGIN_BOLD"/>Onyo:<ph name="END_BOLD"/> Google Chrome haiwezi kuzuia viendelezi kurekodi historia yako ya utafutaji. Ili kuzima kiendelezi hiki katika modi fiche, acha kuchagua hiari hii.</translation>
<translation id="1759842336958782510">Chrome</translation>
<translation id="2290014774651636340">Funguo za API za Google zinakosekana. Baadhi ya utendaji wa Google Chrome utazimwa.</translation>
<translation id="4794050651896644714">Hifadhi maelezo katika Chrome</translation>
<translation id="911206726377975832">Futa historia yako ya kuvinjari pia?</translation>
<translation id="5855036575689098185">Programu unayotumia kwenye kompyuta yako haioani na Google Chrome.</translation>
<translation id="2044287590254833138">Upau wa Google Chrome</translation>
<translation id="8862326446509486874">Huna haki zifaazo ili kufanya usakinishaji wa kiwango cha mfumo. Jaribu kutumia kisakinishi kama msimamiaji kompyuta.</translation>
<translation id="2874156562296220396">Google Chrome imefanikishwa na mradi wa programu huria wa <ph name="BEGIN_LINK_CHROMIUM"/>Chromium<ph name="END_LINK_CHROMIUM"/> na <ph name="BEGIN_LINK_OSS"/>programu huria<ph name="END_LINK_OSS"/> zingine.</translation>
<translation id="3847841918622877581">Google Chrome inaweza itumie huduma za wavuti ili kuboresha utumizi wako wa kuvinjari.</translation>
<translation id="7436949144778751379">Google Chrome inahitaji Windows XP au mpya zaidi. Baadhi ya vipengele huenda visifanye kazi.</translation>
<translation id="5877064549588274448">Kituo kimebadilishwa. Zima na uwashe kifaa chako ili mabadiliko yaanze kutumika.</translation>
<translation id="103396972844768118">Maelezo muhimu kuhusu data yako ya Chrome</translation>
<translation id="6145223986912084844">chrome</translation>
<translation id="6757767188268205357">Usinisumbue</translation>
<translation id="2290095356545025170">Je, una hakika kuwa ungependa kusanidua Google Chrome?</translation>
<translation id="7062966102157262887">Upakuaji unaendelea kwa sasa. Je, unataka kuondoka kwenye Google Chrome na kughairi upakuaji?</translation>
<translation id="4273752058983339720">Google Chrome imesanidiwa ili kuzindua moja kwa moja unapowasha komyuta yako.</translation>
<translation id="1104959162601287462">Kuhusu &amp;Chrome OS</translation>
<translation id="5328989068199000832">Jozi za Google Chrome</translation>
<translation id="1140117203923356735"><ph name="FILE_NAME"/> hufanya mabadiliko ya mipangilio sawa na baadhi ya programu hasidi, kwa hivyo Chrome imeizuia.</translation>
<translation id="5941830788786076944">Fanya Google Chrome iwe kivinjari chaguo-msingi</translation>
<translation id="7787950393032327779">Wasifu unaonekana kuwa unatumika na mchakato mwingine wa Google Chrome (<ph name="PROCESS_ID"/>) kwenye kompyuta nyingine (<ph name="HOST_NAME"/>). Chrome imefunga wasifu huu ili usifisidiwe. Kama una uhakika hakuna michakato mingine inayotumia wasifu huu, unaweza kufungua wasifu na uzindue Chrome tena.</translation>
<translation id="1469002951682717133">Kizinduzi cha Programu za Chrome</translation>
<translation id="4990567037958725628">Kanari ya Google Chrome</translation>
<translation id="4561051373932531560">Google Chrome inakuwezesha kubofya nambari ya simu kwenye wavuti na kuipigia simu kwa Skype!</translation>
<translation id="5788838254726722945">Sakinusha Kizinduzi cha Programu ya Chrome</translation>
<translation id="3612333635265770873">Kijenzi kilicho na jina sawa kimejulikana kuwa na ukinzani na Google Chrome.</translation>
<translation id="5875635642195358109">Nenda kwenye
menyu ya Chrome &gt;
<ph name="SETTINGS_TITLE"/>
&gt;
<ph name="ADVANCED_TITLE"/>
na uondoe tiki kwenye &quot;<ph name="NO_PREFETCH_DESCRIPTION"/>.&quot;
Iwapo hii haitatatua tatizo, tunapendekeza uchague tena hiari hili kwa utendaji ulioboreshwa.</translation>
<translation id="61852838583753520">Sasisha Chrome OS</translation>
<translation id="8547799825197623713">Canary ya Kizinduzi cha Programu ya Chrome</translation>
<translation id="6326175484149238433">Ondoa kwenye Chrome</translation>
<translation id="2871893339301912279">Umeingia kwenye Chrome!</translation>
<translation id="7161904924553537242">Karibu Google Chrome</translation>
<translation id="4147555960264124640">Unaingia katika akaunti ukitumia akaunti inayodhibitiwa na kumpa msimamizi wa akaunti hiyo udhibiti wa wasifu wako kwenye Google Chrome. Data yako ya Chrome, kama vile programu zako, alamisho, historia, manenosiri, na mipangilio mingine itahusishwa na <ph name="USER_NAME"/> daima . Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti za Google, lakini hutaweza kuhusisha data hii na akaunti nyingine. <ph name="LEARN_MORE"/></translation>
<translation id="1348153800635493797">Lazima upate toleo jipya la Chrome ili kutumia Google Wallet [<ph name="ERROR_CODE"/>].</translation>
<translation id="8187289872471304532">Nenda kwenye
Programu &gt; Mapendeleo ya Mfumo &gt; Mtandao &gt; Uboreshaji &gt; Proksi na uondoe tiki kwenye proksi zozote ambazo zimechaguliwa.</translation>
<translation id="8669527147644353129">Msaidizi wa Google Chrome</translation>
<translation id="870251953148363156">Sasisha &amp;Google Chrome</translation>
<translation id="130631256467250065">Mabadiliko yako yatatekelezwa utakapowasha upya tena kifaa chako.</translation>
<translation id="163860049029591106">Anza kutumia Chrome OS</translation>
<translation id="1587223624401073077">Google Chrome inatumia kamera yako.</translation>
<translation id="1399397803214730675">Kompyuta hii tayari ina toleo jipya zaidi la Google Chrome. Ikiwa programu haifanyi kazi, tafadhali sanidua Google Chrome na ujaribu tena.</translation>
<translation id="576822117893741893">Onyesha menyu ya Chrome</translation>
<translation id="3444832043240812445">Ukurasa huu unaonyesha tu maelezo yako ya uharibifu wa hivi karibuni ukiwezesha <ph name="BEGIN_LINK"/>kuripoti uharibifu<ph name="END_LINK"/>.</translation>
<translation id="8614913330719544658">Google Chrome imelemazwa. Izindue upya sasa?</translation>
<translation id="1175529839152551794">Kwa kuwa sasa umeingia katika akaunti, unaweza kupata vichupo vyako, alamisho na vitu vingine vya Chrome vilivyo katika kompyuta yako ndogo, simu na kompyuta kibao. Pia utapokea mapendekezo na vipengele vinavyofaa zaidi kuhusu huduma za Google.</translation>
<translation id="6126631249883707068">Je, ungependa Google Chrome ihifadhi nenosiri lako?</translation>
<translation id="7773845170078702898">Je, unataka Google Chrome ihifadhi nenosiri lako la tovuti hii?</translation>
<translation id="5046764976540625289">Ondoka Chrome</translation>
<translation id="4251615635259297716">Ungependa kuunganisha data yako ya Chrome kwenye akaunti hii?</translation>
<translation id="9171640504251796339">http://www.google.com/support/chrome/bin/answer.py?hl=<ph name="GRITLANGCODE_1"/>&amp;answer=161796</translation>
<translation id="8865765905101981392">Kivinjari Wavuti</translation>
<translation id="8142608456917638009">Google Chrome haikuweza kuunda njia mkato ya programu.</translation>
<translation id="8255190535488645436">Google Chrome inatumia kamera na maikrofoni yako.</translation>
<translation id="2189123953385179981">Google ChromeOS haiauni kuzindua programu ya nje kushughulikia viungo vya <ph name="SCHEME"/>. Kiungo kilichoitishwa ni <ph name="PROTOLINK"/>.</translation>
<translation id="7396375882099008034">Ruhusu Chrome ifikie mtandao kwenye mipangilio yako ya ngome au kingavirusi.</translation>
<translation id="9102715433345326100">Faili hii ni hasidi, na Chrome imeizuia.</translation>
<translation id="8205111949707227942">Hiari: Saidia kuifanya Chrome OS kuwa bora kwa kutuma kiotomatiki takwimu za utumiaji na ripoti za kuvurugika kwa Google.</translation>
<translation id="7253415505590551024">Upakuaji unaendelea kwa sasa. Je, unataka kuondoka kwenye Google Chrome na kughairi upakuaji?</translation>
<translation id="7196020411877309443">Ni kwa kwa nini ninaona hii?</translation>
<translation id="2769762047821873045">Google Chrome sio kivinjari chako cha chaguo-msingi</translation>
<translation id="4567424176335768812">Umeingia katika akaunti kama <ph name="USER_EMAIL_ADDRESS"/>. Sasa unaweza kupata alamisho, historia, na mipangilio yako mingine kwenye vifaa vyako vyote vilivyoingia katika akaunti.</translation>
<translation id="6855094794438142393">Nenda kwenye
menyu ya Chrome &gt;
<ph name="SETTINGS_TITLE"/>
&gt;
<ph name="ADVANCED_TITLE"/>
&gt;
<ph name="PROXIES_TITLE"/>
&gt;
Mipangilio ya LAN
na uondoe tiki kwenye &quot;Tumia seva ya proksi kwa LAN yako&quot;.</translation>
<translation id="7825851276765848807">Usanidi umeshindwa kwa sababu ya hitilafu isiyojulikana. Tafadhali pakua Google Chrome tena.</translation>
<translation id="4919523385405675060">Tovuti hii inatumia programu jalizi ya Chrome Frame ambayo hivi karibuni itaacha kupokea taarifa za usalama na uthabiti. Tafadhali iondoe na upakue kivinjari kinachooana.</translation>
<translation id="1061257178446858647">Sasa umeingia kwenye Chrome! Alamisho, historia, na mipangilio yako mingine itasawazishwa na Akaunti yako ya Google.</translation>
<translation id="3335672657969596251">Google Chrome haichukuani na <ph name="OS_NAME"/>.</translation>
<translation id="4458285410772214805">Tafadhali toka na uingie tena ili mabadiliko haya yafanye kazi.</translation>
<translation id="5334545119300433702">Kijenzi hiki kinajulikana kwa kuwa na ukinzani na Google Chrome.</translation>
<translation id="4407807842708586359">Google Chrome OS</translation>
<translation id="6634887557811630702">Google Chrome imesasishwa.</translation>
<translation id="4120075327926916474">Je, unataka Chrome ihifadhi maelezo haya ya kadi ya mkopo ya kukamilisha fomu za wavuti?</translation>
<translation id="2084710999043359739">Ongeza kwenye Chrome</translation>
<translation id="4084877369264707540">Fremu ya Google Chrome tayari imesakinishwa na inapatikana kwa watumiaji wote wa kompyuta hii. Ikiwa unataka kusakinisha Fremu ya Google Chrome katika kiwango chako, kwanza sharti usanidue toleo la kiwango cha mfumo lililosakinishwa na msimamizi.</translation>
<translation id="3360895254066713204">Msaidizi wa Chrome</translation>
<translation id="6991142834212251086">Unganisha data yangu ya Chrome kwenye akaunti hii</translation>
<translation id="3451115285585441894">Inaongeza kwenye Chrome...</translation>
<translation id="1001534784610492198">Kumbukumbu ya kisanidi imevurugika au ni batili. Tafadhali pakua Google Chrome tena.</translation>
<translation id="2246246234298806438">Google Chrome haiwezi kuonyesha uhakiki wa kuchapisha wakati kionyeshi kilichojengewa ndani cha PDF kinakosekana.</translation>
<translation id="6626317981028933585">Yasikitisha, mipangilio ya Mozilla Firefox haipatikani kivinjari hicho kikiwa kinatumika. Kuingiza mipangilio hiyo kwa Google Chrome, hifadhi kazi yako na ufunge madirisha yote ya Firefox. Kisha bofya Endelea.</translation>
<translation id="7242029209006116544">Unaingia katika akaunti ykitumia akaunti inayodhibitiwa na kumpa msimamizi wa akaunti hiyo udhibiti wa wasifu wako kwenye Google Chrome. Data yako ya Chrome, kama vile programu zako, alamisho, historia, manenosiri, na mipangilio mingine itahishwa na <ph name="USER_NAME"/> daima. Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti za Google, lakini hutaweza kuhusisha data hii na akaunti nyingine. Unaweza kuunda kwa hiari wasifu mpya ili kuweka data yako ya Chrome iliyo kando. <ph name="LEARN_MORE"/></translation>
<translation id="8540666473246803645">Google Chrome</translation>
<translation id="2334084861041072223">Hakimiliki <ph name="YEAR"/> Google Inc. Haki zote zimehifadhiwa.</translation>
<translation id="1698376642261615901">Google Chrome ni kivinjari cha wavuti kinachoendesha kurasa za wavuti na programu kwa kasi ya umeme. Ni ya kasi, thabiti, na rahisi kutumia. Vinjari wavuti kwa usalama zaidi kwa kinga dhidi ya programu hasidi na hadaa iliyojengwa ndani ya Google Chrome.</translation>
<translation id="3419750618886995598">Sasisho la Fremu ya Chrome</translation>
<translation id="3336524238463733095">Google Chrome au Google Chrome Frame haziwezi kusasishwa kwa sababu ya mipangilio isiyofanana ya Sera ya Kikundi Sasishi ya Google. Tumia Kihariri cha Sera ya Kikundi kuweka kufutwa kwa sera ya sasishi kwa programu za Google Chrome Binaries na ujaribu tena; angalia http://goo.gl/uJ9gV kwa maelezo.</translation>
<translation id="853189717709780425">Unaingia kwa kutumia akaunti inayodhibitiwa na kutoa ruhusa msimamizi wake adhibiti wasifu wako kwenye Chrome. Data yako kwenye Chrome, kama vile programu, alamisho, historia, manenosiri yako, na mipangilio mingine itasalia kabisa kwenye <ph name="USER_NAME"/>. Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti ya Google, lakini hutaweza kuhusisha data hii na akaunti nyingine.</translation>
<translation id="6049075767726609708">Msimamiaji kompyuta amesanidi Google Chrome kwenye mfumo huu na inapatikana kwa watumiaji wote. Google Chrome ya kiwango cha mfumo itachukua mahali pa usanidi wako wa kiwago cha mtumiaji sasa.</translation>
<translation id="4338032231047635328">Ulijaribu kufika &lt;strong&gt;<ph name="DOMAIN"/>&lt;/strong&gt;, lakini cheti ambacho seva iliwasilisha kina hitilafu. Google Chrome haiwezi kutumia cheti kilicho na hitilafu na haiwezi kuhalalisha utambulisho wa tovuti ambayo umejaribu kujiunga.</translation>
<translation id="3870154837782082782">Google Inc.</translation>
<translation id="3836351788193713666">Inakaribia kusasishwa! Zindua upya Google Chrome ili kukamilisha kusasisha.</translation>
<translation id="7106741999175697885">Kidhibiti Kazi - Google Chrome</translation>
<translation id="8449380764213232436">Google Chrome sasa inaingiza vitu vifuatavyo kutoka <ph name="BROWSER_COMPONENT"/>:</translation>
<translation id="3396977131400919238">Hitilafu ya mfumo wa uendeshaji imetokea wakati wa kusanidi. Tafadhali pakua Google Chrome tena.</translation>
<translation id="5495581687705680288">Vijenzi vilipakia katika Google Chrome</translation>
<translation id="8129812357326543296">Kuhusu &amp;Google Chrome</translation>
</translationbundle>