blob: 25f9d50cddb74e47e0cb0e02afd679776fe19919 [file] [log] [blame]
<?xml version="1.0" ?>
<!DOCTYPE translationbundle>
<translationbundle lang="sw">
<translation id="6676384891291319759">Fika kwenye wavuti</translation>
<translation id="8586442755830160949">Hakimiliki <ph name="YEAR"/> Wasanidi wa Chromium. Haki zote zimehifadhiwa.</translation>
<translation id="6373523479360886564">Je, una hakika unataka kusanidua Chromium?</translation>
<translation id="5065199687811594072">Je, unataka Chromium ihifadhi maelezo haya ya kadi ya mkopo ya kukamilisha fomu za wavuti?</translation>
<translation id="6510925080656968729">Sanidua Chromium</translation>
<translation id="6893813176749746474">Chromium imesasishwa, lakini hujaitumia angalau kwa siku 30.</translation>
<translation id="1550579416447684632">Zindua programu za Chromium</translation>
<translation id="4267347018362241535">Kizinduzi cha Programu ya Chromium ni mfumo wa pekee wa programu za Chromium.</translation>
<translation id="2770231113462710648">Badilisha kivinjari chaguo msingi kiwe:</translation>
<translation id="6613594504749178791">Mabadiliko yako yataanza kufanya kazi wakati ujao utakapozindua upya Chromium.</translation>
<translation id="3748537968684000502">Unatazama ukurasa salama wa Chromium.</translation>
<translation id="8971920611044657379">Fremu ya Chromium</translation>
<translation id="2077129598763517140">Tumia uongezaji kasi wa maunzi wakati unapatikana</translation>
<translation id="1065672644894730302">Mapendeleo yako hayawezi kusomwa.
Baadhi ya vipengele huenda visipatikane na mabadiliko katika mapendeleo hayatahifadhiwa.</translation>
<translation id="4222661289444749267">Sasisho ya Fremu za Chromium.</translation>
<translation id="4423735387467980091">Dhibiti na ugeuze Chromium ikufae</translation>
<translation id="1881322772814446296">Unaingia katika akaunti ukitumia akaunti inayodhibitiwa na kumpa msimamizi wa akaunti hiyo udhibiti wa wasifu wako kwenye Chromium. Data yako ya Chromium, kama vile programu zako, alamisho, historia, manenosiri, na mipangilio nyingine itahusishwa na<ph name="USER_NAME"/> kabisa. Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti za Google, lakini hutaweza kuunganisha data hii na akaunti nyingine. Unaweza kwa hiari kuunda wasifu mpya ili kuweka data yako ya Chromium iliyo kando. <ph name="LEARN_MORE"/></translation>
<translation id="7128196614940529818">Fremu ya Chromium tayari imesakinishwa na inapatikana kwa watumiaji wote wa kompyuta hii. Ukitaka kusakinisha Fremu ya Chromium katika kiwango cha mtumiaji, lazima kwanza usakinushe toleo la kiwango cha mfumo lililosanidiwa na msimamizi.</translation>
<translation id="731644333568559921">Sasisha Chromium OS</translation>
<translation id="7421823331379285070">Chromium inahitaji Windows XP au toleo la awali. Huenda vipengele vingine visifanye kazi.</translation>
<translation id="7023267510504981715">Lazima upate toleo jipya la Chrome ili utumie Google Wallet [<ph name="ERROR_CODE"/>].</translation>
<translation id="7419987137528340081">Iwapo unapendelea kutenganisha data yako iliyopo ya Chromium, unaweza kuingiza mtumiaji mpya wa Chromium kwa <ph name="USER_NAME"/>.</translation>
<translation id="8030318113982266900">Inasasisha kituo chako kwenda kituo cha <ph name="CHANNEL_NAME"/>...</translation>
<translation id="3549345495227188780">Anza kutumia Chromium OS</translation>
<translation id="4330297532943865716">Usakinishajii unaogongana wa Chromium au Fremu ya Chromium ulipatikana kwenye mfumo. Tafadhali usanidue na ujaribu tena.</translation>
<translation id="6953661834318318668">Upauzana wa Chromium</translation>
<translation id="4285930937574705105">Usanidi umeshindwa kwa sababu ya hitilafu isiyojulikana. Ikiwa Chromium inaendesha sasa, tafadhali ifunge na ujaribu tena.</translation>
<translation id="1396446129537741364">Chromium inajaribu kuonyesha manenosiri.</translation>
<translation id="3555616473548901994">Kusanidua kumekamilika.</translation>
<translation id="2886012850691518054">Hiari: Saidia kuboresha Chromium kwa kutuma takwimu za matumizi na ripoti za uharibifu kiotomatiki kwa Google.</translation>
<translation id="580822234363523061">Nenda kwenye
menyu ya Chromium &gt;
<ph name="SETTINGS_TITLE"/>
&gt;
<ph name="ADVANCED_TITLE"/>
&gt;
<ph name="PROXIES_TITLE"/>
na uhakikishe kuwa usanidi wako umewekwa kwenye &quot;hakuna proksi&quot; au &quot;moja kwa moja.&quot;</translation>
<translation id="3848258323044014972"><ph name="PAGE_TITLE"/> - Chromium</translation>
<translation id="1989424089625731201">Ulijaribu kufika &lt;strong&gt;<ph name="DOMAIN"/>&lt;/strong&gt;, lakini cheti ambacho seva iliwasilisha kina hitilafu. Chromium haiwezi kutumia cheti kilicho na hitilafu na haiwezi kuhalalisha utambulisho wa tovuti ambayo umejaribu kuunganisha.</translation>
<translation id="3103660991484857065">Kisakinishi kilishindwa kufinyuza kumbukumbu. Tafadhali pakua Chromium tena.</translation>
<translation id="872034308864968620">Acha Chromium Iendelee Katika Madnarinyuma</translation>
<translation id="459535195905078186">Programu za Chromium</translation>
<translation id="5109068449432240255">Ndiyo, ondoka Chromium</translation>
<translation id="1480489203462860648">Ijaribu, tayari imesakinishwa</translation>
<translation id="3032787606318309379">Inaongeza kwenye Chromium...</translation>
<translation id="4831257561365056138">Sakinusha Kizinduzi cha Programu ya Chromium</translation>
<translation id="4222580632002216401">Sasa umeingia kwenye Chromium! Usawazishaji umezimwa na msimamizi wako.</translation>
<translation id="4207043877577553402"><ph name="BEGIN_BOLD"/>Ilani:<ph name="END_BOLD"/> Chromium haiwezi kuzuia viendelezi kurekodi historia yako ya kuvinjari. Ili kulemaza kiendelezi hiki katika modi ya chini kwa chini, ondoa tiki kwenye chaguo hili.</translation>
<translation id="4516868174453854611">Kwa kuwa sasa umeingia katika akaunti, unaweza kupata vichupo vyako, alamisho na vitu vingine vya Chromium vilivyo katika kompyuta yako ndogo, simu na kompyuta kibao. Pia utapokea mapendekezo na vipengele vinavyofaa zaidi kuhusu huduma za Google.</translation>
<translation id="985602178874221306">Waandishi wa Chromium</translation>
<translation id="8628626585870903697">Chromium haijumuishi kitazamaji cha PDF kinachohitajika ili Uhakiki wa Uchapishaji ufanye kazi.</translation>
<translation id="7138853919861947730">Huenda Chromium ikatumia huduma za wavuti kuboresha utumizi wako wa kuvinjari.</translation>
<translation id="466053073629175099">Sasa umeingia katika Chromium! Alamisho zako, historia, na mipangilio mingine italandanishwa kwenye Akunti yako ya Google.</translation>
<translation id="4179848566211676653">Toka kwenye Chromium</translation>
<translation id="3849925841547750267">Cha kusikitisha, mipangilio yako ya Mozilla Firefox haipatikani kivinjari hicho kinapoendesha. Ili kuleta mipangilio hiyo kwenye Chromium, hifadhi kazi yako na ufunge madirisha yote ya Firefox. Kisha bofya Endelea.</translation>
<translation id="7771626876550251690">Katika hali hii, anwani iliyoorodheshwa katika cheti hailingani na anwani ya tovuti ambayo kivinjari chako kilijaribu kwenda kwacho. Sababu moja inayowezekana kwa jambo hili ni kwamba mawasiliano yako yanakatizwa na mshambulizi anayewasilisha cheti cha tovuti tofauti, kinachoweza kusababisha kutolingana. Sabau nyingine inayowezekana ni kuwa seva imesanidiwa kurejesha cheti kicho hicho kwenye tovuti mbalimbali, ikiwa ni pamoja na ile unayojaribu kutembelea, hata ingawa cheti hicho si halali kwa tovuti hizo zote. Chromium inaweza kusema kuwa kwa kweli ulifika &lt;strong&gt;<ph name="DOMAIN2"/>&lt;/strong&gt;, lakini haiwezi kuthibitisha kuwa hiyo ni tovuti sawa na &lt;strong&gt;<ph name="DOMAIN"/>&lt;/strong&gt; uliyonuia kufikia. Ukiendelea, Chromium haitakagua kutolingana kokote zaidi kwa jina.</translation>
<translation id="4330585738697551178">Kijenzi hiki kinajulikana kwa kuwa na ukinzani na Chromium.</translation>
<translation id="3190315855212034486">Lo! Chromium imevurugika. Unataka kuzindua upya sasa?</translation>
<translation id="6714487516757221107">Hakuna usakinishaji wa Chromium au Fremu ya Chromium ulipatikana kusasishwa.</translation>
<translation id="3197823471738295152">Kifaa chako kimesasishwa.</translation>
<translation id="8551886023433311834">Inakaribia kusasishwa! Anzisha kifaa chako upya kifaa ili kukamilisha kusasisha.</translation>
<translation id="8353224596138547809">Je, unataka Chromium ihifadhi nenosiri lako la tovuti hii?</translation>
<translation id="7339898014177206373">Dirisha jipya</translation>
<translation id="3733625138702910745">Nenda kwenye
menyu ya Chromium &gt;
<ph name="SETTINGS_TITLE"/>
&gt;
<ph name="ADVANCED_TITLE"/>
na uondoe tiki kwenye &quot;<ph name="NO_PREFETCH_DESCRIPTION"/>.&quot;
Iwapo hii haitatatua tatizo, tunapendekeza uchague tena chaguo hili kwa utendaji ulioboreshwa.</translation>
<translation id="4124681358536363708">Saraka ya usakinishaji wa Chromium inaonekana inatumika. Tafadhali washa upya na ujaribu tena.</translation>
<translation id="8770560772173120024">Chromium sasa inaingiza Vipendwa/Alamisho.</translation>
<translation id="7463979740390522693">Chromium - Arifa (<ph name="QUANTITY"/> hazijasomwa)</translation>
<translation id="225614027745146050">Karibu</translation>
<translation id="9191268552238695869">Msimamizi amesakinisha Chromium kwenye mfumo, na inapatikana kwa watumiaji wote. Chromium ya kiwango cha mfumo itabadilisha usakinishaji wa kiwango cha mtumiaji sasa.</translation>
<translation id="4298853828775962437">http://support.google.com/chrome/?p=ib_chromeframe</translation>
<translation id="3509308970982693815">Tafadhali funga madirisha yote ya Chromium na ujaribu tena.</translation>
<translation id="4077262827416206768">Tafadhali funga madirisha yote ya Chromium na uizindue upya Chromium ili mabadiliko haya yaanze kufanya kazi.</translation>
<translation id="750717762378961310">Faili hili ni hasidi, na Chromium imeizuia.</translation>
<translation id="6944967875980567883">Vipengee vilivyopakiwa kwenye Chromium</translation>
<translation id="6899795326977034905">Kwenye Mac, manenosiri yanahifadhiwa kwenye Msururu wako wa kitufe na yanaweza kufikiwa au kusawazishwa na watumiaji wengine wa Chrome wanaoshiriki akaunti hii ya OS X.</translation>
<translation id="118298050220780080">Ulijaribu kufikia &lt;strong&gt; <ph name="DOMAIN"/> &lt;/ strong&gt;, lakini seva iliwasilisha cheti kilichotolewa na chombo kisichoaminika na mfumo wa uendeshaji wa kompyuta yako. Huku kunaweza kumaanisha kuwa seva hiyo imeunda stakabadhi zake za usalama, ambayo Chromium haiwezi kutegemea kwa maelezo ya utambulisho, au huenda mshambulizi anajaribu kuingilia mawasiliano yako.</translation>
<translation id="3296368748942286671">Endelea kuendesha programu za mandharinyuma wakati Chromium imefungwa</translation>
<translation id="473775607612524610">Sasisha</translation>
<translation id="5714819759736651024">Ili kutumia programu za Chrome, lazima uzindue upya Chromium kwenye eneo- kazi.</translation>
<translation id="7707841053049645517">Tovuti hii inatumia programu jalizi ya Fremu ya Chromium ambayo haitaweza kutumika hivi karibuni. Tafadhali isanidue na upate toleo jipya la kivinjari cha kisasa.</translation>
<translation id="7338384957110970244">Chromium haikuweza kuunda njia mkato ya programu.</translation>
<translation id="6055895534982063517">Kuna toleo jipya la Chromium linalopatikana, na ni la kasi kuliko la awali.</translation>
<translation id="2407806170074302369">Kuhusu Fremu za Chromium...</translation>
<translation id="4677944499843243528">Wasifu unaonekana kuwa unatumika na mchakato mwingine wa Chromium (<ph name="PROCESS_ID"/>) kwenye kompyuta nyingine (<ph name="HOST_NAME"/>). Chromium imefunga wasifu huu ili usifisidiwe. Kama una uhakika hakuna michakato mingine inatumia wasifu huu, unaweza kufungua wasifu na uzindue tena Chromium.</translation>
<translation id="5405650547142096840">Ondoa kwenye Chromium</translation>
<translation id="7747138024166251722">Kisakinishi hakikuweza kuunda saraka la muda. Tafadhali chunguza nafasi iliyo wazi kwenye diski na ruhusa ya kusakinisha programu.</translation>
<translation id="3258596308407688501">Chromium haiwezi kusoma na kuandika kwenye saraka yake ya data:
<ph name="USER_DATA_DIRECTORY"/></translation>
<translation id="4932687624772039103">Chromium haihimili <ph name="OS_NAME"/>.</translation>
<translation id="8738921060445980047">Toleo lisilojulikana.</translation>
<translation id="6970811910055250180">Inasasisha kifaa chako...</translation>
<translation id="2485422356828889247">Ondoa</translation>
<translation id="85843667276690461">Pata msaada kwa kutumia Chromium</translation>
<translation id="5358375970380395591">Unaingia katika akaunti inayodhibitiwa na kumpa msimamizi wa akaunti hiyo udhibiti wa wasifu wako kwenye Chromium. Data yako ya Chromium, kama vile programu zako, alamisho, historia, manenosiri, na mipangilio miingine itahusishwa na <ph name="USER_NAME"/> kabisa. Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti za Google, lakini hutaweza kuunganisha data hii na akaunti nyingine. <ph name="LEARN_MORE"/></translation>
<translation id="263863604136125912">Anzisha Chromium</translation>
<translation id="9036189287518468038">Kizinduzi cha Programu ya Chromium</translation>
<translation id="911206726377975832">Futa historia yako ya kuvinjari pia?</translation>
<translation id="95514773681268843"><ph name="DOMAIN"/> huhitaji usome na ukubali Sheria na Masharti yafuatayo kabla ya kutumia kifaa hiki. Masharti haya hayapanui, kurekebisha au kupunguza Masharti ya Chromium OS.</translation>
<translation id="5603085937604338780">chromium</translation>
<translation id="1699664235656412242">Tafadhali funga madirisha yote ya Chromium (pamoja na yaliyo kwenye modi ya Window 8) na ujaribu tena.</translation>
<translation id="6734080038664603509">Sasisha &amp;Chromium</translation>
<translation id="8862326446509486874">Huna haki zifaazo ili kufanya usakinishaji wa kiwango cha mfumo. Jaribu kutumia kisakinishi kama msimamiaji kompyuta.</translation>
<translation id="894903460958736500">Programu unayotumia kwenye kompyuta haioani na Chromium.</translation>
<translation id="1774152462503052664">Acha Chromium iendeshe katika mandharinyuma</translation>
<translation id="9022552996538154597">Ingia kwenye Chromium</translation>
<translation id="4365115785552740256">Chromium imerahisishwa na mradi wa programu huria ya <ph name="BEGIN_LINK_CHROMIUM"/>Chromium<ph name="END_LINK_CHROMIUM"/> na programu nyingine <ph name="BEGIN_LINK_OSS"/>huria<ph name="END_LINK_OSS"/>.</translation>
<translation id="2216475571518225820">Tovuti hii inatumia programu jalizi ya Fremu ya Chromium ambayo haitaweza kutumika hivi karibuni. Tafadhali isanidue na upakue kivinjari kinachooana.</translation>
<translation id="5877064549588274448">Kituo kimebadilishwa. Zima na uwashe kifaa chako ili mabadiliko yaanze kutumika.</translation>
<translation id="6248213926982192922">Fanya Chromium kuwa kivinjari chaguo-msingi</translation>
<translation id="6309712487085796862">Chromium inatumia kamera yako.</translation>
<translation id="7337881442233988129">Chromium</translation>
<translation id="5820394555380036790">Chromium OS</translation>
<translation id="6757767188268205357">Usinisumbue</translation>
<translation id="1745962126679160932">Chromium itahifadhi kwa usalama maelezo yako ili usihitaji kuyachapa tena, lakini bado utahitaji kudhibitisha msimbo wa usalama wa kadi yako kwa malipo ya siku za usoni.</translation>
<translation id="275588974610408078">Kuripoti uharibifu hakupatikana katika Chromium.</translation>
<translation id="5909170354645388250">Haitumiki katika Chromium. Kishika nafasi cha kuweka ramani za raslimali zikiwa zimesawazishwa. Inatarajia hoja moja: $1.</translation>
<translation id="7937630085815544518">Uliingia kwenye Chromium kama <ph name="USER_EMAIL_ADDRESS"/>. Tafadhali tumia akaunti hiyo hiyo kuingia tena.</translation>
<translation id="2685838254101182273">Chromium imekoma kusasisha na haiwezi kutumiwa tena na toleo hili la mfumo wako wa uendeshaji.</translation>
<translation id="3582788516608077514">Inasasisha Chromium...</translation>
<translation id="7223968959479464213">Kidhibiti Kazi - Chromium</translation>
<translation id="3838208658251026018">Chromium sasa inaleta vipengee vifuatavyo kutoka <ph name="BROWSER_COMPONENT"/>:</translation>
<translation id="1779356040007214683">Ili kufanya Chromium salama zaidi, tumezima baadhi ya viendelezi ambavyo havijaorodheshwa katika <ph name="IDS_EXTENSION_WEB_STORE_TITLE"/> na ambavyo huendwa viliongezwa pasipo ridhaa yako.</translation>
<translation id="6638567566961868659">Pata alamisho zako katika menyu ya Chromium au kwenye upau wa alamisho.</translation>
<translation id="2673087257647337101">Inakaribia kusasishwa! Anzisha Chromium upya ili kukamilisha kusasisha.</translation>
<translation id="5398878173008909840">Kuna toleo jipya la Chromium linalopatikana.</translation>
<translation id="2648074677641340862">Hitilafu ya mfumo wa uendeshaji ilitokea wakati wa usakinishaji. Tafadhali pakua Chromium tena.</translation>
<translation id="5942520288919337908"><ph name="EXTENSION_NAME"/> imeongezwa kwenye Chromium.</translation>
<translation id="4559775032954821361">Nenda kwenye
menyu ya Chromium &gt;
<ph name="SETTINGS_TITLE"/>
&gt;
<ph name="ADVANCED_TITLE"/>
&gt;
<ph name="PROXIES_TITLE"/>
&gt;
Mipangilio ya LAN
na uondoe tiki &quot;Tumia seva ya proksi kwa kikasha kaguzi chako cha LAN&quot;.</translation>
<translation id="8621669128220841554">Usakinishaji ulishindwa kwa sababu ya hitilafu isiyobainika. Tafadhali pakua Chromium tena.</translation>
<translation id="6717134281241384636">Wasifu wako hauwezi kutumiwa kwa sababu umetoka katika toleo jipya la Chromium.
Baadhi ya vipengele huenda visipatikane. Tafadhali bainisha saraka tofauti ya wasifu au utumie toleo jipya la Chromium.</translation>
<translation id="8907580949721785412">Chromium inajaribu kuonyesha manenosiri. Chapa nenosiri lako la Windows ili uruhusu hili.</translation>
<translation id="9013087743919948559">Ongeza kwenye Chromium</translation>
<translation id="6212496753309875659">Kompyuta hii tayari ina toleo la hivi punde la Chromium. Ikiwa programu haifanyikazi, tafadhali sanidua Chromium na ujaribu tena.</translation>
<translation id="1298199220304005244">Pata msaada unapotumia Chromium OS</translation>
<translation id="8187289872471304532">Nenda kwenye
Programu &gt; Mapendeleo ya Mfumo &gt; Mtandao &gt; Uboreshaji &gt; Proksi na uondoe tiki kwenye proksi zozote ambazo zimechaguliwa.</translation>
<translation id="2801146392936645542"><ph name="FILE_NAME"/> ni hasidi, na Chromium imeizuia.</translation>
<translation id="4488676065623537541">Maelezo yako ya utozwaji yamehifadhiwa katika Chromium.</translation>
<translation id="1691304614444223855">Fremu ya Chromium imesasishwa. Tafadhali zindua upya kivinjari chako. Toleo la Chromium: <ph name="TODO_0001"/>, Toleo la Fremu ya Chromium: <ph name="TODO_0002"/></translation>
<translation id="130631256467250065">Mabadiliko yako yatatekelezwa utakapowasha upya tena kifaa chako.</translation>
<translation id="3244477511402911926">Kituo cha Chromium cha Taarifa</translation>
<translation id="1105130903706696483">Chromium haikuzimika vizuri. Ili kufungua tena kurasa ulizokuwa umefungua, bofya Rejesha.</translation>
<translation id="1929939181775079593">Chromium haiamiliki. Zindua upya sasa?</translation>
<translation id="1414495520565016063">Umeingia kwenye Chromium!</translation>
<translation id="1902135785017821799"><ph name="FILE_NAME"/> hufanya mabadiliko ya mipangilio sawa na baadhi ya programu hasidi, hivyo Chromium imeizuia.</translation>
<translation id="3155163173539279776">Zindua upya Chromium</translation>
<translation id="2966088006374919794">Chromium inahitaji kuzindua programu ya nje ili kushughulikia viungo vya <ph name="SCHEME"/>. Kiungo kilichoombwa ni <ph name="PROTOLINK"/>.</translation>
<translation id="2558235863893655150">Je, unataka Chrome ihifadhi nenosiri lako?</translation>
<translation id="1231416733874080281">Onyesha menyu ya Chromium</translation>
<translation id="5772805321386874569">(inahitaji uanzishaji upya wa <ph name="BEGIN_BUTTON"/>Chromium<ph name="END_BUTTON"/>)</translation>
<translation id="1688750314291223739">Sanidi Usawazishaji ili uhifadhi vipengele vyako vya kivinjari vilivyobinafsishwa kwenye mtandao na uvifikie kutoka Chromium katika kompyuta yoyote</translation>
<translation id="9171640504251796339">http://www.google.com/support/chrome/bin/answer.py?hl=<ph name="GRITLANGCODE_1"/>&amp;answer=161796</translation>
<translation id="8865765905101981392">Kivinjari Wavuti</translation>
<translation id="8610831143142469229">Ruhusu Chromium ifikie mtandao kwenye mipangilio yako ya ngome au kingavirusi.</translation>
<translation id="6424492062988593837">Chromium imekuwa bora! Toleo jipya linapatikana.</translation>
<translation id="6601972021154586963">Unahitajika kuingia kwenye Chromium ili utumie programu hizi. Hii inaruhusu Chromium kusawazisha programu, alamisho, historia, manenosiri yako, na mipangilio mingine katika vifaa vyote.</translation>
<translation id="2910007522516064972">Kuhusu Chromium</translation>
<translation id="8453117565092476964">Kumbukumbu ya kisakinishi imeharibika au ni batili. Tafadhali pakua Chromium tena.</translation>
<translation id="6763060723530774166">Ili kutumia kizinduzi cha programu, lazima uzindue upya Chromium kwenye eneo-kazi.</translation>
<translation id="3130323860337406239">Chromium inatumia maikrofoni yako.</translation>
<translation id="3249425904492147663">Ulijaribu kufikia &lt;strong&gt; <ph name="DOMAIN"/> &lt;/ strong&gt;, lakini seva iliwasilisha cheti ambacho muda wake umeisha. Hakuna maelezo yanayopatikana kuonyesha ikiwa cheti hicho kimetumiwa vibaya tangu muda wake wa kutumika kuisha. Hii inamaana kuwa Chromium haiwezi kuthibitisha kuwa unawasiliana na &lt;strong&gt; <ph name="DOMAIN2"/> &lt;/ strong&gt; na wala si mshambulizi. Saa ya kompyuta yako kwa sasa imewekwa kwenye <ph name="CURRENT_TIME"/> . Je, iko sawa? Ikiwa haiko, unapaswa kurekebisha hitilafu na uonyeshe ukurasa huu upya.</translation>
<translation id="7196020411877309443">Ni kwa kwa nini ninaona hii?</translation>
<translation id="457845228957001925">Maelezo muhimu kuhusu data yako ya Chromium</translation>
<translation id="4567424176335768812">Umeingia katika akaunti kama <ph name="USER_EMAIL_ADDRESS"/>. Sasa unaweza kupata alamisho, historia, na mipangilio yako mingine kwenye vifaa vyako vyote vilivyoingia katika akaunti.</translation>
<translation id="7483335560992089831">Haiwezi kusakinisha toleo sawia la Chromium ambalo linaendeshwa hivi sasa. Tafadhali funga Chromium na ujaribu tena.</translation>
<translation id="7641113255207688324">Chromium si kivinjari chako chaguo-msingi.</translation>
<translation id="4458285410772214805">Tafadhali toka na uingie tena ili mabadiliko haya yafanye kazi.</translation>
<translation id="761356813943268536">Chromium inatumia kamera na maikrofoni yako.</translation>
<translation id="805745970029938373">Unaweza kuona arifa zako zote kutoka kwa programu za Chromium, viendelezi, na tovuti hapa.</translation>
<translation id="2119636228670142020">Kuhusu Chromium OS</translation>
<translation id="1708666629004767631">Kuna toleo jipya, na salama linalopatikana la Chromium.</translation>
<translation id="378917192836375108">Chromium hukuruhusu kubofya nambari ya simu kwenye wavuti na kuipiga kwa Skype.</translation>
<translation id="8724049448828509830">Upakuaji unaendelea kwa sasa. Je, unataka kuondoka kwenye Chromium na kughairi upakuaji?</translation>
<translation id="3360567213983886831">Chromium Binaries</translation>
<translation id="8985587603644336029">Awali kuna mtu aliingia katika Chromium kwenye kompyuta hii kama <ph name="ACCOUNT_EMAIL_LAST"/>. Iwapo hiyo si akaunti yako, fungua mtumiaji mwengine wa Chromium ili utenge maelezo yako.
Kuingia bila kujali kutaunganisha maelezo ya Chromium kama vile alamisho, historia, na mipangilio mingine kwenye <ph name="ACCOUNT_EMAIL_NEW"/>.</translation>
<translation id="2739631515503418643">Kuna maudhui yanayopakuliwa sasa. Ungependa kuondoka kwenye Chromium na ughairi vipakuliwa?</translation>
<translation id="9013262824292842194">Chromium inahitaji Windows Vista au Windows XP iliyo na SP2 au zaidi.</translation>
<translation id="1967743265616885482">Kijenzi kilicho na jina sawa kimejulikana kuwa na ukinzani na Chromium.</translation>
<translation id="4224199872375172890">Chromium imesasishwa.</translation>
<translation id="374481098568514319">Kompyuta hii tayari ina toleo jipya la hivi karibuni zaidi la vijenzi vya Chromium. Tafadhali tumia kisakinishi cha hivi karibuni zaidi.</translation>
<translation id="6240281849816458190">Ulijaribu kufikia &lt;strong&gt; <ph name="DOMAIN"/> &lt;/ strong&gt;, lakini seva iliwasilisha cheti ambacho bado si halali. Hakuna maelezo ya kuashiria ikiwa cheti hicho kinaweza kuaminika. Chromium haiwezi kutoa hakikisho kwamba unawasiliana na &lt;strong&gt; <ph name="DOMAIN2"/> &lt;/ strong&gt; wala sio mshambulizi. Saa ya kompyuta yako ya kwa sasa imewekwa <ph name="CURRENT_TIME"/> . Je, hilo ni sahihi? Ikiwa sivyo, unapaswa kusahihisha mfumo wako wa saa na kisha uonyeshe upya ukurasa huu.</translation>
<translation id="5862307444128926510">Karibu kwenye Chromium</translation>
<translation id="7318036098707714271">Faili yako ya mapendeleo imeharibika au ni batili.
Chromium haiwezi kufufua mipangilio yako.</translation>
<translation id="6403826409255603130">Chromium ni kivinjari cha wavuti kinachoendesha kurasa za wavuti na programu kwa kasi ya umeme. Ni ya haraka, imara, na rahisi kutumia. Vinjari wavuti kwa usalama zaidi dhidi ya hadaa na programu hasidi ukiwa na ulinzi uliojengwa ndani ya Chromium.</translation>
<translation id="2927042866129133279">Hoja batili. Fremu ya Chromium haiwezi kusakinishwa katika modi tayari bila pia kusakinisha Chromium.</translation>
<translation id="4019464536895378627">Ulijaribu kufikia &lt;strong&gt; <ph name="DOMAIN"/> &lt;/ strong&gt;, lakini seva iliwasilisha cheti kilichotolewa na huluki asiyeaminika na Chromium. Huku kunaweza kumaanisha kuwa seva hiyo imeunda stakabadhi zake za usalama, ambayo Chromium haiwezi kutegemea kwa maelezo ya utambulisho, au huenda mshambulizi anajaribu kukatiza mawasiliano yako.</translation>
<translation id="4230135487732243613">Ungependa kuunganisha data yako ya Chromium kwenye akaunti hii?</translation>
<translation id="2572494885440352020">Kisaidizi cha Chromium</translation>
<translation id="442817494342774222">Chromium imesanidiwa ili kuanza moja kwa moja unapowasha kompyuta yako.</translation>
<translation id="8974095189086268230">Chromium OS imewezeshwa na programu za ziada za <ph name="BEGIN_LINK_CROS_OSS"/>programu huria<ph name="END_LINK_CROS_OSS"/>.</translation>
<translation id="313551035350905294">Unaingia kwa kutumia akaunti inayodhibitiwa na kutoa ruhusa msimamizi wake adhibiti wasifu wako kwenye Chromium. Data yako kwenye Chromium, kama vile programu, alamisho, historia, manenosiri yako, na mipangilio mingine itasalia kabisa kwenye <ph name="USER_NAME"/>. Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti ya Google, lakini hutaweza kuhusisha data hii na akaunti nyingine.</translation>
<translation id="8823523095753232532">Unganisha data yangu ya Chromium kwenye akaunti hii</translation>
<translation id="1221340462641866827">Chromium OS haihimili kuzindua programu ya nje ili kushughulikia viungo vya <ph name="SCHEME"/>. Kiungo kilichoombwa ni <ph name="PROTOLINK"/>.</translation>
<translation id="328888136576916638">Funguo za Google API zinakosekana. Utendaji fulani wa Chromium utazimwa.</translation>
<translation id="2602806952220118310">Chromium - Arifa</translation>
<translation id="5032989939245619637">Hifadhi maelezo katika Chromium</translation>
</translationbundle>